BongoScore - Mpira Live, Matokeo & Ratiba Za Mechi icon

BongoScore - Mpira Live, Matokeo & Ratiba Za Mechi

9.8 · Jun 15, 2021

Download BongoScore - Mpira Live, Matokeo & Ratiba Za Mechi APK for Android - Free - Latest Version

qr

Latest Version

Version9.8 (2)
UpdatedJun 15, 2021
DeveloperMALLTEC
IDbongoscore.apamq
Installs10+
CategoryApps, Sports

BongoScore - Mpira Live, Matokeo & Ratiba Za Mechi app

Tazama Mpira Live, Pata Habari Na Matokeo Ya Mechi Zote Tanzania

App hii ni App bora kabisa ya michezo Tanzania iliyosheheni yafuatayo;

>Live TV
>Matokeo ya Mpira
>Ratiba za Mechi
>Habari
>Taarifa za Wachezaji
>Quiz Game

*LIVE TV*
Kwa kutumia app hii, utaweza kutazama mechi zote LIVE tena bila chenga mechi za Ligi zote za Bongo kama vile VPL, Azam FA Cup, Mapinduzi Cup, na Ligi nyingezo. Channel zote zipo katika mfumo wa HD.

*MATOKEO YA MPIRA*
BongoScore app pia inakupatia nafasi ya kuweza kufatilia matokeo ya mechi za Ligi zote zinazochezwa Tanzania. Hapa mtumiaji ataweza kutazama matokeo yote magoli, na wafungaji.

*RATIBA ZA MECHI*
BongoScore app vilevile inakurahisishia wewe mtumiaji wa app hii kuweza kupata ratiba za mechi za Ligi zote zinazochezwa Tanzania.

*HABARI*
BongoScore app inakupatia nafasi ya kuweza kufatilia habari na taarifa mbalimbali za michezo Tanzania. Ikiwepo taarifa za usajili za wachezaji, na taarifa za mbalimbali za burudani kuhusu michezo.

*TAARIFA ZA WACHEZAJI*
BongoScore vilevile inakupatia nafasi ya kuweza kupata na kufahamu taarifa mbalimbali za wachezaji wa Timu zote Tanzania, hapa utaweza kufahamu wasifu mzima wa mchezaji unayetaka kumfahamu.

*QUIZ GAME*
BongoScore inakupa nafasi mtumiaji wa app hii kuweza kuburudika na Game mbalimbali za maswali kuhusiana na soko ulimwenguni. Hapa utaweza kucheza game za maswali ya haraka haraka kuhusu mchezaji yeyote.

Tafadhali pakua (download) app hii ili uweze kuburudika na soka la Tanzania kupitia simu janja yako.

Email: bongoscoretz@gmail.com

Read more

You May Also Like