Description: Fiqhi ya Ibada - Swala APK

Packagecom.fadaamedia.elm.sw_salah
Version1.0
Developerkamal said fahmy
ReportReport this app?

Swala ‘Fiqhi Ibada yenye picha’

Swala ‘Fiqhi Ibada yenye picha’

Lengo la ‘Taqbiiq’ hii ni kumfikia mwanafunzi na kujua sifa ya swala ya Mtume kuanzia kwenye takbiir hadi kwenye salamu kama kwamba Mtume (Swala LLahu ‘Alayhi wasallam) yu baina yetu tunasoma mojakwa moja kutoka kwake. Msomaji atasoma sifa ya swala, fadhila zake, hukumu zake, nguzo, yaliyokuwa lazima kufanywa na sunna zake, yaliyoruhusiwa na kukatazwa na yenye kubatilisha swala, kuanziaadhana hadi iqama; hukumu zake na fadhila zake, sharti na sunna zake. Kisha baada ya hapo huangalia shari za swala sharti baada ya sharti kwa uwazi kabisa na ufafanuzi mzuri, kisha sujudi ya kusahauna ya kushukuru na ya kisomo, baada ya hapo swala ya jamaa na yanayohusiana na uimamu na maamuma, kisha kuna sehemu maalum kwa ajili ya swala ya ijumaa, sifa yake hukumu zake na kila kinachohusiananayo. Mwishowe kwa njia ya ishara inaelezea swala za sunna, swala ya kuomba mvua, kupatwa kwa mwezi na jua na swala ya idi mbili nay a jeneza.

www.fiqhiswahili.com

Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:

1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
2-Kiasi cha masomo 57
3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho

Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:

1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.

Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania,Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.

Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu

Prayer 'with pictures Fiqh Worship'
      
      The aim of the 'Taqbiiq' this is the approach the student to know the characteristics of the issue of the Messenger from on takbiir to a greeting like that theProphet (prayers Hasan 'alaihi wasallam) is between us we learn directly from him. The reader will read the query attributes, His grace, His judgments, columns, were necessarily made to his sunna,permitted and forbidden to invalidate a query, from azan up iqama; His judgments and His grace, condition and his sunna. And then you see the evil in question must post must clearly and properdefinition, then prostrating to forget and thanks to literacy, after which the issue of family and related to the Imam and simpleton, then there is a special section for Friday prayers, hisreputation and his judgments all do it. Finally, through the signs describes the sunna issue, subject to request rain and solar eclipses and two incredulous query and of a coffin.
     
www.fiqhiswahili.com
  
    Come true copy of 'Tatbiiq' of jurisprudence collects pictures Ibadat with the following:
      
      1-More than 55 video teachings
2-The amount of tuition 57
3-Hundreds of pictures with explanations and teachingsThis jurisprudence is renowned for its execution the following:1-The possibility of finding any ASW, including the ability to kutafura verses and Hadith apart.
2-Options various coordination instruments
3-Ability to set light when reading
4-Console which you can put video lessons and various yaliyokupendezesha for ease of goes.
5-Ease of that they prefer to send to your friends through e-mail.
6-your friend to share what you find interesting in applications in social networking sites such as face book and twiter and others.As 'Tatbiiq' This has been interpreted for more than five languages, namely: (English, French, Chinese, Ki-indonesia, Bengali, Kifursi, Russian, Tajik, Urdu, Hausa, Kiswahili, Spanish, Portuguese,German, Kihamhari) some zimeshateremshwa and other Insha'llah follow its implementation.Fiqh of Worship was a picture-is a must for every Muslim house