Fursa Za Biashara APP
Ndani ya App hii utapata kuelimika katika mambo mengi yahusuyo biashara na ujasiramali, baadhi ya masomo yatakayotolewa humu ni kama:-
👉👉 Elimu ya Biashara za online🔥,
👉👉Jinsi ya kupata pesa Mtandaoni🔥🔥.
👉👉 Elimu ya Ufugaji
👉👉 Darasa la Kilimo
👉👉 Utapata mawazo yasiyopungua 150 ya biashara ✔Guaranteed!🔥✔
Tunatambua ya kwamba Mtaji ni moja ya kitu ambacho hukwamisha biashara nyingi sana zisianzishwe na zisikue kwa kasi inayostahili, kwa huyo basi... Tumekuandalia makala na Aina ya biashara ndogondogo ambazo utaweza kuzianzisha na kuzikuza hata ukiwa na mtaji mdogo.