qr

Mwana Jangwani APK

Desert Son is for fans of Yanga

Version1.7.2 (73)
UpdatedJul 28, 2020 (6 months ago)
DeveloperMSoft Tanzania
CategoryApps, Sports
IDcom.msoft.yangafans
Installs100,000+

Je wewe ni shabiki kindakindaki wa Yanga aka wa Kimataifa? Kama ni hivyo karibu sana. Ndani ya Mwana Jangwani utaweza kusoma Makala na kupata taarifa mbalimbali kuhusu klabu yako unayoipenda sana. Utaweza kupata ratiba za michezo , matokeo, mijadala na matukio mbalimbali yanayoihusu Yanga ndani na nje ya uwanja. Mwana Jangwani ni yako wewe shabiki namba moja wa Yanga.

What's New

v1.7.2 Toleo hili limeboreshwa zaidi, unaweza kushare habari na marafiki zako

Email: mahizaa@gmail.com

See more

See more