qr

Text Moto za Mapenzi APK

App hii inakupa SMS za mapenzi na mahaba tele. Boresha penzi lako!!!!

Version1.0 (5)
UpdatedMay 18, 2020 (6 months ago)
DeveloperAlianda
CategoryApps, Dating
IDsms.bubble
Installs10,000+

Text Moto za Mahaba na Mapenzi

Mapenzi au Mahaba ni kitu cha maana sana. Ukiwa na mpenzi wako ama mchumba wako, App hii itakusaidia sana kudhumisha mapenzi yako.

Text hizi zitakupa nafasi ya kuchagua bubble ili utume SMS. App hii ina SMS nyingi sana za kudhumisha mapenzi.

Utumizi:

- Chagua kitengo kimoja cha mahaba.
- Bonyeza chaguo lako
- Tuma SMS yako kwa mpenzi wako.

Kwenya App hii utapata yafuatayo:
*Text za Marafiki
*Text za Vichekesho
*Text za Mapenzi
*Text za Wapendanao
*Text za Mahaba
*Text za Mungu
*Text za Mapenzi

Mapenzi ama Mahaba ni kitu cha maana sana. Download App hii mpya na utafurahia mapenzi.

What's New

-Correction of a Logical Error.

Email: alianda.alinda@gmail.com

See more

See more