Mlinde GAME
Mchezo huu umebuniwa na kutengenezwa kwa lengo la kuwaelimisha vijana wa kiume mbinu na mambo ya kitabia ya kuzingatia ili kuwalinda wenza wao wa kike dhidi ya maambukizi ya VVU/UKIMWI pindi wakiwa katika mahusiano.
Karibu tuucheze mchezo huu: "CHEZA", "BURUDIKA", "ELIMIKA".
About Mlinde Game
Mlinde Game intends to create awareness to youth male partners on behavioral aspects to observe in order to protect their female partners against HIV/AIDS transmission.
Welcome, let's play this game: "PLAY", "GET ENTERTAINED", "GET EDUCATED".

