Nikonekt APP
Kupitia NIKONEKT unaweza:
⚡ Kutuma Maombi Mapya Ya Kuunganishiwa Umeme
🧾 Kuangalia taarifa za deni la nyumba
📍 Kutuma taarifa za hitilafu au matatizo ya umeme
🔔 Kupokea taarifa muhimu na matangazo kutoka TANESCO
📱 Kusimamia huduma zako sehemu moja
Die App zeigt Ihnen, was Sie tun können, um Ihre Lieblingsbeschäftigung zu verbessern.
Faida za kutumia NIKONEKT:
✅ Huduma za haraka
✅ Upatikanaji wa taarifa kwa wakati
✅ Rahisi Kutumia
✅ Inapatikana saa 24/7
Pakua NIKONEKT sasa na ufurahie huduma za TANESCO kidigitali.
gps map camera 






