Nikonekt APK
3.1.0 · Jun 6, 2026 · Tools
5 K+Installs
32 MBSize
3.1.0Version

NIKONEKT – Omba kuunganishiwa umeme na pata huduma za TANESCO kwa urahisi.

Latest Version

Version
Update
Jun 6, 2026
Developer
Category
Google Play ID
Installs
5,000+

Advertisement

Nikonekt APP

NIKONEKT ni app rasmi inayokuwezesha kupata huduma mbalimbali za TANESCO kwa haraka na kwa urahisi kupitia simu yako.

Kupitia NIKONEKT unaweza:

⚡ Kutuma maombi mapya ya kuunganishiwa umeme
🧾 Kuangalia taarifa za deni la nyumba
📍 Kutuma taarifa za hitilafu au matatizo ya umeme
🔔 Kupokea taarifa muhimu na matangazo kutoka TANESCO
📱 Kusimamia huduma zako sehemu moja

App imeundwa kwa urahisi, usalama na upatikanaji wa huduma muda wowote na mahali popote.

Faida za kutumia NIKONEKT:
✅ Huduma za haraka
✅ Upatikanaji wa taarifa kwa wakati
✅ Rahisi kutumia
✅ Inapatikana saa 24/7

Pakua NIKONEKT sasa na ufurahie huduma za TANESCO kidigitali.
Read more