siraj islam APK
1.0.2 · 24 sept. 2026 · Social
10+Descargas
108 MBTamaño
1.0.2Versión

Maisha ya Kiislamu: Ibada, Elimu, Soko Halal y Jamii — yote sehemu moja.

Última Versión

Versión
Actualizar
24 sept. 2026
Desarrollador
Categoría
Google Play ID
Descargas
10+

Publicidad

siraj islam APP

Siraj Islam — Programu ya Maisha ya Kiislamu

Siraj Islam ni programu kamili ya mtindo wa maisha ya Kiislamu (estilo de vida islámico), iliyoundwa kwa ajili ya Waislamu wa Tanzania na Afrika Mashariki - inayounganisha ibada, elimu, jamii, nabiashara halal, sehemu moja.

🕌 IBADA YA KILA SIKU
Nyakati za Swala na Qibla sahihi kulingana na eneo lako, Qur'an Tukufu (Surah 114 na tafsiri), Hadithi za Mtume (SAW), Dua & Adhkar, Kalenda ya Kiislamu (Hijri), na Majina 99 ya Allah.

🎓 ELIMU NA JAMII
Fuatilia Masheikh na Waalimu walioidhinishwa, sikiliza Darsa na Mihadhara moja kwa moja au yaliyorekodiwa, na ushiriki katika mazungumzo ya kidini na Waislamu wenzako — kama mtandao wako binafsi wa kijamii wa Kiislamu.

🛍️ SOKO NA HUDUMA — 100% HALAL
Nunua na uuze mavazi ya staha, misahafu, vitabu, udi, na huduma nyingine za Kiislamu kutoka kwa wauzaji walioidhinishwa —biashara halisi ya Kiislamu, si tu bidhaa za ibada.

🤖 SIRAJ AI
Msaidizi wa Kiislamu anayekujibu maswali yako ya kila siku — kidini, kiutamaduni, na kimaisha — papo hapo.

Siraj Islam si programu ya ibada tu — ni mwenzi wako wa maisha ya Kiislamu: unavyoabudu, unavyojifunza, unavyoshirikiana na jamii, na unavyoishi kila siku kama Mwislamu.

Pakua Siraj Islam leo - maisha yako ya Kiislamu, sehemu moja.
Más información