Uzima Milele ni huduma ya Kikristo isiyo ya faida ambayo hutoa elimu ya Biblia, Afya na Jamii kupitia Jukwaa la Dijitali kwa lugha ya Kiswahili, ikilenga zaidi ya watu milioni 100 wanaoishi katika nchi zinazozungumza Kiswahili Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Jiunge sasa uweze kupata masomo ya Biblia kwa njia ya kidijitali.